Uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika chini ya kanuni zinazoweka masharti ya uteuzi wa wagombea na sababu za kuenguliwa.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na kuleta ufanisi zaidi katika kuwahudumia wananchi.