KADRI uzoefu wa mama aliyekwisha jifungua na hasa ambao kipindi cha ujauzito wamepitia changamoto kama vile uzazi pingamizi ...
Vyanzo vya Umoja wa Mataifa vinasema Uganda kupeleka wanajeshi wa ziada kaskazini mwa Goma ni kuunga mkono jeshi la Rais wa ...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na ...
Wahudumu wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini DRC wakikusanya miili ya wahanga wa mapigano ya hivi majuzi katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya mkoa wa Kivu Kaskazini huko Goma ...
Upasuaji wa Mbangula umefanyika katika kipindi ambacho Tanzania Prisons inamkosa mshambuliaji mwingine tegemeo wa kikosi cha kwanza, Jeremiah Juma ambaye naye ni majeruhi. Hapana shaka kwa sasa kocha ...
Ukoma ni ugonjwa unaoathiri sana ngozi na unaweza kuharibu baadhi ya viungo kama vile mikono ,miguu na hufanya mtu kutengwa na jamii ...
Mwaka 2018, alisimulia katika kikao cha Kumbukumbu ya Wahanga wa Ukatili wa Wanazi katika Bunge la Ujerumani (Bundestag): "Iwapo haukufariki moja kwa moja katika chumba cha gesi ulipofika ...
Watu 30 wameuawa kufuatia shambulio la droni kwenye moja ya hospitali za mwisho zinazofanya kazi huko El-Fasher katika jimbo la Darfur nchini Sudan. Mashambulizi hayo ya Ijumaa jioni yalisababisha ...
“Hii sihitaji kuwa na nesi, ninaweza nikaiweka pale nikaiseti kila baada ya dakika 10 nataka itoe dawa na vilevile zinasaidia sana wakati mgonjwa ametoka chumba cha upasuaji, unaagiza kila baada ya ...
Lakini nashukuru madaktari wa hapa wananihudumia vizuri, na sasa naendelea vizuri,” amesema Ngasa. Daktari wa kitengo cha upasuaji wa Hospitali ya Rufaa ya Shinyanga, Matinde Doto, amesema majeruhi ...
Na matokeo yake, Bellamy aliporudi hotelini, alikwenda kwenye chumba cha Riise na kumpiga staa huyo wa Norway na mbao la kuchezea mpira wa gofu. Na kuonyesha kwamba kuna chuki baina yao, Bellamy ...