Alipoingia katikati ya kundi hilo akaliona gari la Idara ya upelelezi alilokuwa akiendesha Temba, tairi zake za mbele zimeingia katika mfereji. Msembeko alichungulia ndani ya gari hilo ...